|
VifaaLugha nyingine
|
Wikipedia:Jumuia
[hariri] Karibu!Ukitaka msaada wa kusanifisha makala, angalia hapa. Makala nzuri ionekane kama makala hizi: lugha, Eritrea Ukifikiri kwamba hutaweza kuandika moja kwa moja makala ndefu na nzuri kama hiyo, uanzishe makala ndogo tu (kama hii: hesabu), na baadaye watu wengine (au wewe mwenyewe) wataweza kuikuza na kuiboresha. Bado kuna makala kuu ambazo zimeunganishwa na ukarasa wa mwanzo, lakini hazijaandikwa. Ni muhimu tuziandike kwanza kurasa hizo: Kuna makala chache ambazo zimeandikwa kwa lugha ya kidini. Sisi tunataka kuandika kamusi elezo, na kwa hiyo ni lazima makala ziandikwe kwa lugha ya kisayansi, kwa sababu watu hawawezi kukubaliana kuhusu mambo ya dini. Kwa hiyo tubadilishe makala hizo zisiwe kwa lugha ya kidini: Kuna makala chache ambazo zimeandikwa kwa rai ya watu wachache. Lakini kwa kamusi elezo ni lazima kwamba rai za watu wote zivumiliwe. Kwa hiyo ni lazima kubadilisha makala hii: (makala hizi tatu zimeandikwa kwa rai ya waislamu tu, lakini hiyo siyo sawa. Angalia makala kwa Kiingereza (Religion na Islam) ili kujifunza makala kama hizo ziandikwe namna gani, ili kuvumilia maoni ya watu wote.) Ili kuboresha tovuti hiyo, ni lazima tutafsiri sehemu zote ambazo bado ni kwa Kiingereza. Siku hizi, Marcos anafanya kazi hiyo. Ukitaka kumsaidia, au ukiona makosa katika tafsiri yake, umwarifu hapa. [hariri] Wasimamizi wanahitajika (Administrators needed)Ili kuzuia wahuni na kulinda makala ... tembelea Wikipedia:Wakabidhi. (To block vandals & protect pages ... see Wikipedia:Administrators.) [hariri] Makala fupiNinaazimia kufuta makala fupi — Special:Shortpages — kwa sababu nyingi ni duni kabisa (k.m. viungo vya Wikipedia zingine tu, au makala ya kamusi tu). Matt Crypto 10:49, 26 Julai 2005 (UTC) I intend to delete some of the shorter pages, because many of them aren't of much use at all (for example, containing only interwiki links, or a brief dicdef etc). This makes the encyclopedia look very unpromising indeed. I suggest we cut the cruft, and keep only the articles that are either full articles or proper stubs. Matt Crypto 10:49, 26 Julai 2005 (UTC)
[hariri] Makala yanayostahili kufutwaTufanyeje kuhusu makala yanayostahili kufutwa? Wikipedia za lugha mbalimbali zina ukurasa wa kupendekeza kufutwa kwa makala. Halafu wanawiki wanaweza kuchangia rai zao. Mimi ningependekeza kufuta makala Benzi karl fredrickkwa sababu mbili: A) mtu huyu alikuwa na jina kamili ndilo "Carl Friedrich Benz". Tusianze aina hii ya lugha tafadhali - baadaye tutapata "Bushi Georgi" au "Churichilli Winisitoni" au hata "Muwarimu Niyelele" kwa sababu mtu fulani anataka kuingiza lahaja ya nyumbani au tatizo lake la kutamka herufi fulani akidai kasoro yake ndicho Kiswahili chenyewe!! B)makala inajaa makosa - Benz haikuwa mtu wa kwanza aliyetengeneza injini ya petroli. Kwa sababu ya jina la makala ni la makosa haina faida kusahihisha makosa yaliyomo --Kipala 19:32, 26 Januari 2006 (UTC)
[hariri] Sahihi Yesu Kanisainafaa kufutwa. Mwandishi anajaribu kuipeleka katika wikipedia za lugha nyingi. Nimeombwa kuitafsiri lakini sijapata majibu nilipouliza kuhusu mambo mbalimbali; siamini ya kwamba habari zake ni sahihi. Jinsi ilivyo makala ni ya Kiingereza pamoja na maneno kadhaa ya Kiswahili; halafu ameongeza kwa Kiswahili maneno ya Biblia yasiyoeleweka jinsi yalivyo. Sababu ya kuifuta ni pamoja na lugha ya kwamba mwandishi hajui mwenyewe jina la kanisa hili kwa Kiswahili; ameniandikia ya kwamba wako Tanzania, Kenya n.k. lakini hajui jina wanalotumia. "Sahihi Yesu" ni hisia tu. --Kipala 22:44, 18 Machi 2006 (UTC) [hariri] ZergeisterungNeno »Zergeisterung« halina maana kabisa kwa Kijerumani. Makala ni mzaha. Neno hili limewahi kufutwa mara kadhaa katika wikipedia ya kijerumani kwa sababu hawakubali makala ya mzaha. Lifutwe na hapa. --Kipala 21:26, 5 May 2006 (UTC) [hariri] Sanduku la mchangaNimefanya "Sanduku la mchanga" nikasihia "Idadi" hapo. [hariri] InterfaceThere are still a number of interface strings that need translating... anyone up for it? Sj 13:27, 6 Desemba 2005 (UTC)
sanduku la mchanga ni kitu gani kwenye wiki? labda ninaweza kuchangia...fredwash [hariri] Interwiki Bot StatusHi. I would like to get my interwiki bot YurikBot marked as a bot in your language. The bot is already operating in almost 50 languages, and it would lower the server load and improve the quality of articles if all interwikies are updated at the same time. You can read more or ask questions here. I always run the latest version of the Pywikipediabot (i am also one of the developers of this project). The request for the bot status is here. Please support. Thank you. --Yurik (en) 23:39, 5 Januari 2006 (UTC)
[hariri] Jimmy Wales wa Wikipedia[2]. Matt Crypto 13:46, 25 Januari 2006 (UTC) [hariri] Tahajia ya Jina letu, "Village Pump" na Templeti "Swen"(sw) Fikra tatu: 1) Tahajia ya Jina la toleo hili la Wikipedia kwa Kiswahili. Sasa ni "Wikipedia". Matoleo mengine yatumia tahajia ya lugha zao, k.m., Wikipedia ya Kifaransa ni "Wikipédia", ya Kiesperanto ni "Vikipedio" etc. Swali langu ni, "Wikipedia" ni tahajia bora kwa toleo la Kiswahili? Labda kitu kama "Wikipidia" au "Wikipiidia" ni bora? 2) Wikipedia zingine zina makala za kuzumgumza juu ya mambo ya mradi wote. Inaitwa "Village Pump" kwa Kiingereza. Sasa, tunatumia makala hii kwa madhumuni ile. Labda tuanze makala ya "Wikipedia:Pampu ya kijiji" (au "Wikipedia:Kisima cha kijiji"...)? 3) Nimetunga Templeti kwa kuandika katika Kiswahili na Kiingereza pamoja. Templeti hii inaitwa "swen". Ninaitumia kwa sababu ninaweza kushiriki kwa Kiswahili cha kiwango cha msingi tu, lakini ningependa kufahamika! (en) Three thoughts: 1) The spelling of the name of the Swahili Wikipedia. Currently it's "Wikipedia". Other editions use the spelling of their languages, e.g., the French Wikipedia is "Wikipédia", the Esperanto name is "Vikipedio" etc. My question is, is "Wikipedia" the best spelling for the Swahili edition? Maybe something like "Wikipidia" or "Wikipiidia" would be better? 2) Other Wikipedias have articles for discussing matters for the entire project. It's called the "Village Pump" in English. At the moment, we use this page for that purpose. Perhaps we should start a "Village Pump", or "Village Well" page? 3) I have created a template for writing Swahili and English together. This template is called "swen". I use it because I can participate with a only a basic level of Swahili, but I'd like to be understood! Matt Crypto 13:45, 2 Februari 2006 (UTC)
[hariri] Template:Sanduku la habari za nchi(sw) Mimi na User:Kipala tumetengeneza templeti ya nchi. Inawezekana kunakili templeti hii kutoka Wikipedia ya Kiingereza. Kwa mfano, angalia Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Ni lazima kubadili "Infobox Country" kwa "Sanduku la habari za nchi", lakini majina ya uga (fields) zinabaki kwa Kiingereza. Data katika uga zinahitaji kutafsiriwa. Napendekeza turuhusu Kiingereza kwa majina ya uga kwa muda mchache, wakati Wikipedia hii ni ndogo, kurahisisha kunakili data. Pia, nimeficha uga kama GDP, HDP na PPP, lakini ni rahisi kuzifichua. (en) Kipala and I have ported the country infobox from the English Wikipedia. An example is on the Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo article. It's now possible to simply copy over an infobox from an English language article without much modification. The "Infobox Country" needs to be replaced with "Sanduku la habari za nchi", but the field names remain the same. The data in the fields needs to be translated of course. I suggest we allow the English field names to remain for the time being, while the Wikipedia is small, to facilitate the copying over of data. I've also commented out some fields, like GDP, HDP and PPP, for now, but we can put them in easily enough if it's wanted. Matt Crypto 16:48, 21 Aprili 2006 (UTC)
ndio ni sawa kabisa katika swala zima la wikipedia mi naona halitoki nje ya maudhui kwa sababu limejitosheleza na katika hali zote (kuandika na kutamka) bado halipotezi misngi halisi wa neno lenyewe ila katika hii wikipedia:pump ningeshauri litumike neno kama Baraza au hata kijiwe kwani linaleta maan ya haraka na iliyo wazi katika watumiaji wa lugha ya kiswahili .....[[user:fredwash]1:41 pm, august 2006 [hariri] Thijs!botI would like to ask the support of the community of the swahili wikipedia for getting a bot status to do automatic large-scale addition of interwiki-links. I use the pywikipedia-platform which Yurik mentioned above. The bot adds interwiki-links which are unambigious, which means it only works if all the interlinked wiki-articles have consistent linking among each other. This is an important point to prevent mistakes. Please mention support here, so iI can apply at meta for the botstatus soon. The bot currently works on af, als, ar, ast, az, be, bg, bs, ca, cs, da, de, el, en, eo, es, et, eu, fa, fi, fr, fur, gl, he, hr, hu, ia, id, ie, io, is, it, ka, ko, la, lb, li, lt, lv, mk, nap, nds, nds-nl, nn, no, oc, os, pl, pt, ro, ru, scn, sh, simple, sk, sl, sq, sr, sv, th, tr, vi, zh, zh-yue, an, br, co, cv, cy, ga, hi, ht, id, ie, ku, mr, ne, nrm, pap, sco, se, uk, ta, tl, te, tt, uz, wa, yi, and zh-min-nan. Thijs!bot 19:49, 8 Oktoba 2006 (UTC)
[hariri] Wikimania 2007 Team BulletinPublished by the Wikimania 2007 Taipei Team, Wikimania 2007 Team Bulletin provides the latest news of the Team's organizing work to everyone who is interested in Wikimania; it also gives the Team chances to announce calls for help/participation, so assistance in human and other resources can be sought in a wider range. Team Bulletin is published at the official website of Wikimania 2007 and released to the public domain. Issue 1 and Issue 2 has already published.--218.166.212.246 02:15, 29 Oktoba 2006 (UTC) [hariri] Fujo (mpira wa miguu)Naomba wasimamzizi waangalie makala ya mpira wa miguu. Imeshaharibiwa mara 5,6 au hivi. Nadhani ni yeye yule mwenye fujo akiingia bila jina na kutumia mashine mbalimbali kwenye mkahawa wa intaneti. Naomba makala hii ibadilishwe ili washiriki pekee waliojiandikisha wanaweza kuhariri. Hadi sasa hatujapata fujo nyingi. Ikiongezeka naona heri tuweke sw:wiki yote kwa hali ya kujiandikisha kwanza. --Kipala 18:17, 8 Januari 2007 (UTC)
[hariri] Looking for helpHi, unfortunately I don't speak any Kiswahili (sorry!), so I hope someone could respond in English... First of all, is this the "real" help page? (It's not linked to the respective German page, so I'm a bit confused...) If it's not the right page: Sorry, and could you tell me where else I should ask my question? Thanks! The reason I'm writing, however, is that I'm looking for information about a river in Tanga. Someone wrote an entry in the German Wikipedia on "Sigifluss" (English translation would be Sigi River), which is supposedly a river in the Tanga province in Tanzania, which had that name until 1918. Now we're trying to find out which river it is and what it is called today. There seems to be a "Sigi River" and even an "mto Sigi"http://sw.wikipedia.org/"Mto Sigi" on the internet, but unfortunately I haven't yet found out if this is 1.) the same river, and b.) the official name of it. So I'd be grateful for any and every information about the river or anything else that you could tell me about it, or if you could even tell me where to find more information about it (books? internet?). (Maybe you could even mark it on Tanga on wikimapia.org? If you want to do that, just click onto "Add place" in the upper left corner...) I'd be happy to include whatever information I find into the German article--so this is your chance to contribute to the German Wikipedia ;o) ! Thanks a lot (!) in advance, --Ibn Battuta 02:36, 12 Februari 2007 (UTC)
[hariri] Soko / MasokoHi, I created Category:Soko la hisa. Does it need to be changed to Category:Masoko la hisa? And would Category:Benki be actually Category:Mabenki? I am not sure. --Mr Accountable 03:56, 18 Februari 2007 (UTC) [hariri] Makala "requested"In English: Sisal, coffee, tea, rubber, ground nut/peanut, banana, pineapple, birdseye pepper, cotton, palm oil. In Kiswahili: kilima or ukilima. --Mr Accountable 03:43, 19 Februari 2007 (UTC) [hariri] Tufunge uhariri kwa wale waliojiandikisha?Napendekeza kufungs uharitri wa makala kwa watumiaji waliojiandikisha. Uhalifu wote hadi sasa ilikuwa ya watu bila jina. Leo nilirudisha "Msaada wa kuanzisha makala" baada ya uhalifu. Hatujakuwa na matatizo mengi bado lakini ilhali tuko wachache inasumbua hata hivyo. Wasimamizi wenzangu: Je kuna kizuizi chochote tukiruhusu uhariri wote kwa waliojiandikisha tu? --Kipala 20:57, 27 Februari 2007 (UTC)
[hariri] SieBotDear user community. I am hereby requesting bot status for SieBot, my robot, using the pywikipedia bot framework to make edits on this wiki in all namespaces related to interwiki links. I already have bot bits at about twenty Wikipedias (nl, en, pt, it to a few larger ones - see interwiki at SieBot's userpage for details). I specifically request a bot bit here because running interwiki, I noticed that I could have made a relatively large amount of edits here. Please let me know if you think I should not start editing with the bot in a few days. Siebrand 17:10, 25 Aprili 2007 (UTC)
[hariri] bot:RobbotTunahitaji bendera kwa ajili ya Bot:Robbot. Nisipokosei hana. --62.154.201.129 14:25, 2 May 2007 (UTC)
[hariri] Le Pied-botHi ! I request bot flag for my bot account Le Pied-bot. (I hope this is the good place).
Cordialy, EDUCA33E 12:03, 18 May 2007 (UTC)
[hariri] Wikimedia Election NoticeIf you are able, please translate this notice to as many possible languages and post it anywhere applicable. The Wikimedia Election Committee is accepting candidates for the 2007 Wikimedia Foundation Board of Trustees election. Please see [4] for more information. There is still time for a new candidate to be considered for election, and you may now endorse the candidate of your choice (up to 3 candidates) on the endorsements page, [5]. Please read the instructions carefully prior to endorsing. If you can translate the instructions, please do. If you have any questions, please contact any member of the election committee, who are listed here [6]. Posted on behalf of the Election Committee, [hariri] Bot status BotMultichillHi, i request a bot bit for BotMultichill.
[hariri] Bot request for User:ByrialbotHello! Sorry for not speaking your language. I ask for permission to run my interwiki bot Byrialbot here at the Swahili Wikipedia, and to get a bot flag for it so it will not fill the Recent Changes page with interwiki updates.
It will soon begin to do test edits. Your local bureacrat (Matt Crypto) seems inactive, but I can then request the flag at the Meta-Wiki if I first get local consensus here. Thank you! Byrial 15:20, 4 Julai 2007 (UTC)
[hariri] Bot status for PipepBotHello! I ask for permission to run my interwiki bot PipepBot here, and to get a bot flag for it.
Thank you! --it:User:Pipep 18:03, 11 Agosti 2007 (UTC)
[hariri] Preparation of Fundraiser 2007Hi, this is just a first introduction message to tell you: there is more to come. I am dealing with the Project Management of the Fundraiser 2007 and therefore will search for contacts of wikimedians who can help us to do our tasks on all projects. I am actually also building the structure for the fundraiser on Meta. We will need people who help to design buttons, translate texts of buttons, documents, sitenotices etc. Should you feel you want to co-operate please let me know. You can reach me on my meta user page or by e-mail at scretella (at) wikimedia (dot) org. If you wish to notify us that you would like to co-operate on translations, it would be nice if you used e-mail and copied the e-mail to me and Aphaia (aphaia (at) gmail (dot) com). Thank you for your attention and I hope to meet you soon! Cheers :-) -- 4 September 2007 Sabine [hariri] AlleborgoBotHi, i request a bot flag for AlleborgoBot
Thanks --AlleborgoBot 14:00, 13 Oktoba 2007 (UTC)
[hariri] Bot status for Idioma-botHello! I ask for permission to run my interwiki bot Idioma-bot here, and to get a bot flag for it.
Thank you! --Hugo 15:27, 25 Novemba 2007 (UTC)
[hariri] Bot policyHello. To facilitate steward granting of bot access, I suggest implementing the standard bot policy on this wiki. This will involve creating a redirect to this page from Project:Bot policy, and adding a line at the top noting that it is used here. In particular, this policy allows automatic acceptance of known interlanguage linking bots (if this page says that is acceptable), which form the vast majority of such requests. Please read the text at m:Bot policy before commenting. If you object, please say so; it will be implemented in one week if there is no objection, since it is particularly written to streamline bot requests on wikis with little or no community interested in bot access requests. —Pathoschild 20:04:33, 25 Novemba 2007 (UTC)
[hariri] ImagesSorry I don't speak any KiSwahili so I'll write in English. I've noticed that a lot of images on this project do not report basic information as author and license, and many are available on commons. Can some sysop have a look at it? Thanks Utente:Cruccone--131.111.76.140 12:35, 3 Desemba 2007 (UTC) [hariri] Bot command translationsHi. Could anybody translate me these interwiki bot commands to Swahili (they will be displayed in all interwiki bot summaries here instead English):
Thank you. lt:User:Hugo.arg 13:50, 6 Januari 2008 (UTC)
[hariri] Bot Flag Request for Purbo_THi, I'd like to request a bot flag for Purbo_T (contributions)
Thank you! --Purodha Blissenbach 14:01, 13 Februari 2008 (UTC)
[hariri] Changes at "MediaWiki:Common.css"(communication to user:Malangali) We had a problem with the format of templates for info boxes. I consulted meta:user:Pathoschild who as a steward has given us advice before and he thought the reason was the deletion of "MediaWiki:Common.css" by you. I restored the file and the templates are fine. Probably you had some idea why you deleted this so kindly tell the community on "jumuiya". Pathoschild recommended also restoring MediaWiki:Monobook.js but I have no idea what that is for. Maybe its better to discuss such operations - this one left Muddy and me in the dark for some time. --User_talk:Kipala 18:41, 20 Februari 2008 (UTC) [hariri] Request for bot flag - BodhisattvaBot
--Dalibor Bosits (talk) 11:12, 26 Februari 2008 (UTC)
[hariri] Interwiki linksHi, I saw this Wikipedia in the movie The Truth According to Wikipedia and it was very inspirational. I don't know Swahili, but i tried browsing around this Wikipedia. In the movie i saw the article Mnazi (kinywaji) and i was curious why did they show it. I found it here, but unfortunately it doesn't have interwiki links to other languages and i have no idea what it is. I looked at a few of your other pages and found that many of them don't have interwiki links. Good interwiki links strongly improve the encyclopedia. Bots are not enough for this - they just complete the work that human editors do, but human editors should check them and add them where necessary. In the Hebrew Wikipedia we have developed some tools and processes that help editors improve interwiki links. Please take a look here: he:User:Amire80/Interlanguage links I think that you may find it interesting! Thanks. --Amir E. Aharoni (majadiliano) 08:27, 19 Aprili 2008 (UTC) [hariri] Betawiki: better support for your language in MediaWikiDear community. I am writing to you to promote a special wiki called Betawiki. This wiki facilitates the localisation (l10n) of the MediaWiki interface. You may have changed many messages here to use your language in the interface, but if you would log in to for example the Japanese language Wiktionary, you would not be able to use the interface as well translated as here. In fact, of 1,736 messages in the core of MediaWiki. Betawiki also supports the translation of messages for 126 extensions, with 2,174 messages. Many of them are used in WMF projects and they are vital for understanding the wiki. Translators for over 100 languages contribute their work to MediaWiki this way every month. If you wish to contribute to better support of your language in MediaWiki, as well as for many MediaWiki extensions, please visit Betawiki, create an account and request translator privileges. You can see the current status of localisation of your language on MediaWiki.org and do not forget to get in touch with others that may already be working on your language on Betawiki. If you have any further questions, please let me know on my talk page on Betawiki. We will try and assist you as much as possible, for example by importing all messages from a local wiki for you to start with, if you so desire. You can also find us on the Freenode IRC network in the channel #f1f2f5iki-i18n where we will be happy to help you get started.
[hariri] SpBotHello. I would like to get a bot-flag on this wiki.
[hariri] Bot flag for SynthebotDear all, this is to request a bot flag for Synthebot. Its technical information is summarized be |