Vipimo sanifu vya kimataifa

Vipimo sanifu vya kimataifa (Kifar.: Système International d'unités; kifupi chake: SI) ni utaratibu uliokubaliwa kimataifa kwa kuwa na vizio vya upimaji vya pamoja duniani. Maendeleo na matumizi ya utaratibu huo huangaliwa na Ofisi ya Kimataifa ya Vipimo.

Msingi wa utaratibu huu ni mita. Vizio vingine ni vya urefu (mita), masi (kilogramu), wakati (sekondi), mkondo wa umeme (ampea), halijoto (kelvini), kiasi cha dutu (moli), mwangaza au ukalifu nunurikaji (kandela).

Vipimo hivi hutumika na wanasayansi duniani. Katika maisha ya kawaida kuna vipimo mbalimbali vinavyoweza kuwa tofauti kati ya nchi na nchi.




dom kraków egipt Świąteczne Opisy Darmowy Katalog stron Panele Teledyski Meble dla dzieci,dziecięce karty kredytowe kartki urodzinowe prace licencjackie kurtyny ppoż Perfumeria urządzenia czyszczące tłumacz z Poznania Fryzury kick koparki Bułgaria wczasy Karaoke tani kredyt hipoteczny COOLsurf