Ushairi

Kibao cha Gilgamesh

Ushairi ni utungo wa kisanaa ulio na madhumuni ya kutumbuiza au kuelimisha. Tena, ushairi ni tawi moja la fasihi andishi. Kinyume chake ni nathari.

Inawezekana kutunga mashairi yenyewe au kutumia lugha ya kishairi katika aina nyingine za kisanaa, kwa mfano tamthiliya au nyimbo.

Ushairi una historia ndefu. Kwa mfano, mwanafalsafa Aristotle katika kitabu chake Ushairi ("Poetics" kwa Kiingereza) anachunguza matumizi yake katika hotuba, tamthiliya, nyimbo na futuhi.

Shairi la Beowulf

[hariri] Marejeo

Wamitila, K.W. 2003. Kamusi ya Fasihi: Istilahi na Nadharia, Nairobi: Focus Books.

Image:WikiLettreMini.svg Makala hiyo kuhusu "Ushairi" bado ni mbegu. Unaweza kusaidia kuikuza kwa kubofya kitufe kilichoandikwa "hariri".

Ikiwepo makala kuhusu Ushairi kwa lugha nyingine, unaweza kuitafsiri kwa Kiswahili.


darmowe zakładanie stron Bielizna damska Tapety na pulpit Dowcipy kawały żarty żarcik Filmowa Pobieralnia ośrodki szkoleniowe Warszawa Projektowanie Stron Graficzne Opisy Kawa przepisy Katalog Stron Internetowych pozycjonowanie strony Katalog Stron Śląsk Darmowa Muzyka prace licencjackie limousine service warsaw kick koparki Bułgaria wczasy Karaoke tani kredyt hipoteczny COOLsurf